Swahili - BBC News Swahili

Swahili - BBC News Swahili

Play all audios:


BBC NEWS, SWAHILI - HABARI HABARI KUU * MASHAMBULIZI MAKUBWA ZAIDI YA NDEGE ZISIZO NA RUBANI YASHUHUDIWA UKRAINE Takriban watu watatu wameuawa na wengine 21 kujeruhiwa katika shambulio kubwa


zaidi la drone la Urusi katika mji wa Kharkiv, nchini Ukraine, meya alisema. * 'MWANANGU NI MMOJA KATI YA 16 WENYE UGONJWA USIOJULIKANA' Jeni ya PPFIBP1: Wazazi wanaotafuta walio


na ugonjwa wa mtoto wao usio wa kawaida Saa 5 zilizopita * KWA NINI TUNALIA KWA FURAHA? SAYANSI INASAMAJE? Machozi ya furaha? Hii misamiati inaonekana kukinzana, lakini yanaeleza jinsi


ubongo wa mwanadamu unavyoshughulikia hisia kali. Saa 9 zilizopita * KWA NINI BAHARI HUWA NYEUSI? Katika miongo miwili iliyopita, zaidi ya humusi ya bahari ya dunia imekuwa nyeusi, kulingana


na utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Plymouth nchini Uingereza. 7 Juni 2025 * TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI - NEWCASTLE WANAVUTIWA NA ELANGA Newcastle wanamfuatilia Anthony Elanga wa Nottingham


Forest, Arsenal wanavutiwa na Benjamin Sesko huku Manchester United ikitoa ofa bora zaidi kwa Bryan Mbeumo. 7 Juni 2025 * JINSI UGOMVI MKALI WA TRUMP DHIDI YA MUSK ULIVYOSHEHENI NA


KITAKACHOTOKEA BAADAYE Nini kinatokea wakati mtu tajiri zaidi na mwanasiasa mwenye nguvu zaidi duniani wanashikana mashati? 6 Juni 2025 * TAIFA LA AFRIKA AMBALO NI HATARI ZAIDI KWA WANAWAKE


KUJIFUNGUA Akiwa na umri wa miaka 24, Nafisa Salahu alikuwa katika hatari ya kuwa mmoja wa watu hao nchini humo, ambapo mwanamke wa wastani hufa wakati wa kujifungua kila baada ya dakika


saba. 6 Juni 2025 * MASUALA YANAYOZUA UTATA KATIKA MSWADA WA FEDHA 2025 KENYA Mwaka jana Rais William Ruto alilazimika kufutilia mbali mswada wa fedha mwaka 2024 kutokana na maandamano ya


vijana wa Gen Z? 6 Juni 2025 * MASWALI YANAYOULIZA WAAFRIKA KUHUSU MARUFUKU MPYA YA USAFIRI YA TRUMP Rais Trump anasema Marekani haiwezi kuwa na "uhamiaji wazi bila ya kuweka mikakati


ya kuwachunguza wale wanaotaka kuingia nchini mwetu". 6 Juni 2025 * TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA: GYOKERES YUKO TAYARI KUJIUNGA NA MAN UTD Je, Viktor Gyokeres kuungana tena na Ruben


Amorim Manchester United?, Arsenal inawawania Morgan Rogers na Igor Paixo, Tottenham italazimika kumlipa Ange Postecoglou pauni milioni 4 ikiamua kumpiga kalamu. 6 Juni 2025 * USALAMA KATIKA


VIWANJA VYA KENYA WAITIA WASIWASI CAF Neno la Kiswahili 'pamoja' likiwa na maana ya pamoja, limekuwa likitumika kuzitaja Kenya, Tanzania na Uganda kuwa wenyeji wa michuano ya


Mataifa ya Afrika (CHAN), 6 Juni 2025 * 'MATUMAINI YETU YA KUPATA WATOTO YALIZIMWA KATIKA SHAMBULIO LA ISRAEL' "Moyo wangu umevunjika," alisema Noura, mwanamke wa


Kipalestina mwenye umri wa miaka 26, akielezea kwamba aliachwa "bila chochote." 6 Juni 2025 BBC NEWS SWAHILI SASA IPO WHATSAPP Jiunge na Chaneli yetu GUMZO MITANDAONI * TUNACHOJUA


KUHUSU MARUFUKU YA USAFIRI HIVI PUNDE YA TRUMP Rais Trump ametia saini agizo la kuwapiga marufuku raia kutoka matiifa 12 kuingia nchini Marekani. 5 Juni 2025 * MAMBO MATANO AMBAYO HUENDA


HUKUYAJUA KUHUSU HIJJA Hijja ni ibada takatifu kwa waumini wa dini ya Kiislamu ambapo mamia ya maelfu ya waumini hukusanyika katika mji wa Makka huko Saudi Arabia kila mwaka. 4 Juni 2025 *


VIFAHAMU VYUO VIKUU KUMI BORA DUNIANI 2025 Vijue vyuo vikuu 10 bora duniani, kulingana na jarida la elimu kutoka Uingereza la Times Higher Education. 4 Juni 2025 * GWAJIMA: ASKOFU MWENYE


UTATA ANAYEPAZA SAUTI DHIDI YA UTEKAJI TANZANIA Wakati wa janga la UVIKO-19, Gwajima alikuwa mstari wa mbele kuendesha kampeni hadharani ya kupinga chanjo dhidi ya ugonjwa huo. Miongoni mwa


kauli zake nyingi, alinukuliwa akisema chanjo hizo si salama, ingawa tatizo hakuwa anatoa ushahidi wowote wa madai yake. 3 Juni 2025 * NDOA TANO ZA WASANII WAKUBWA DUNIANI ZILIZOFUNGWA KIMYA


KIMYA Harusi za faragha hazina shinikizo kubwa, kwani hakuna muda wa kuzingatia matarajio ya wengine, ili kukidhi masilahi ya mashabiki. Na hilo huzifanya harusi hizi kuwa na gharama ndogo


pia. 2 Juni 2025 * 'USUHUBA WA KABILA NA M23' NI SULUHU YA MZOZO WA DRC AU KIVULI KIPYA CHA VITA VYA MUDA MREFU? Rais wa zamani DRC Joseph Kabila amekuwa mjini Goma mashariki mwa


nchi hiyo, eneo linalodhibitiwa na waasi wa M23, hatua iliyoibua maswali kuhusu hatma ya suluhu ya muda mrefu ya mzozo unaendelea nchini humo. 2 Juni 2025 * MWANASAYANSI ALIYESAIDIA CHINA


KUWA NCHI YENYE NGUVU DUNIANI BAADA YA KUFUKUZWA NA MAREKANI Utafiti wake ulisaidia kutengeneza roketi zilizorusha satelaiti ya kwanza ya China angani na makombora ambayo yalikuja kuwa


sehemu ya silaha za nyuklia za China. 3 Juni 2025 * KWA NINI MWANDIKO WA DAKTARI NI MBAYA? WANASAYANSI WA NEVA WANAELEZA Mwandiko wetu kwa kiasi fulani huathiriwa na anatomia yetu na sifa za


urithi tunazorithi kutoka kwa wazazi wetu. 3 Juni 2025 * TUNAYOFAHAMU KUHUSU SHERIA YA ARDHI YA AFRIKA KUSINI INAYOMKERA TRUMP Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa yuko katikati ya dhoruba


ya kisiasa baada ya kuidhinisha sheria ambayo inaipa serikali mamlaka ya kuchukua baadhi ya ardhi inayomilikiwa na watu binafsi bila kuwalipa fidia. 2 Juni 2025 * KWA NINI BAADHI YA WATOTO


HUKATA UHUSIANO NA WAZAZI WAO? Kuna wakati wazazi wetu wanakuwa wazee na dhaifu. Hapo tunatakiwa, kuonyesha subira na rehema zaidi kwao. 1 Juni 2025 * KUOMBA RADHI KWA MARAIS RUTO NA


MUSEVENI NI MWANZO MPYA AU DANGANYA TOTO? Katika matukio nadra sana kutokea, marais William Ruto wa Kenya na Yoweri Museveni wa Uganda wameomba msamaha. Lakini nini hasa kilitokea? 29 Mei


2025 * 'WALITUPIGA NA KUTUBAKA BARABARANI HADHARANI' Wanawake na wasichana katika jimbo la Darfur nchini Sudan wako katika hatari ya kukabiliwa na ukatili wa kingono, shirika la


matibabu lisilokuwa na mipaka Médecins Sans Frontières (MSF) limeonya. 28 Mei 2025 MICHEZO * WACHEZAJI 10 WA SOKA WENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI 2025 5 Juni 2025 * TETESI ZA SOKA ULAYA


ALHAMISI: VILLA INAVUTIWA NA SANCHO 5 Juni 2025 * TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO: SAUDIA INAVUTIWA NA KIUNGO WA SPURS SON 4 Juni 2025 * JE, MSHINDI WA BALLON D'OR ANACHAGULIWAJE? 4 Juni


2025 AFYA YAKO * FAHAMU FAIDA YA ALOE VERA KWA AFYA 5 Juni 2025 * KWANINI WANASAYANSI WANAJIANDAA KWA JANGA LINGINE LA AFYA? 31 Mei 2025 * SIKU YA KUPINGA TUMBAKU: JINSI TUMBAKU INAVYOHARIBU


MWILI WAKO 31 Mei 2025 * AMENORRHOEA: SABABU 8 ZA KUKOSA HEDHI MBALI NA UJAUZITO 30 Mei 2025 WARIDI WA BBC * 'NILIENDA NYUMBANI KWA LIKIZO YA KRISMASI, LAKINI BADALA YAKE,


'NIKAKEKETWA' 23 Mei 2025 * WARIDI WA BBC: 'MAMBO NI MAWILI, UMRUSHE MTOTO MTONI AU NIWAUWE NYOTE WAWILI' 7 Mei 2025 * HURREM SULTAN: MWANAMKE 'MWENYE NGUVU


ZAIDI' KATIKA HISTORIA YA OTTOMAN 4 Mei 2025 * KWANINI WANAWAKE HAWAWEZI KUWA MAPAPA? NA NINI ASILI YA HILI? 30 Aprili 2025 SIKIZA / TAZAMA * 0:34 VIDEO, TAZAMA: JE, RAIS WA UFARANSA


AMEZABWA NA KOFI AU NI MAHABA, MUDA 0,34 26 Mei 2025 * WASIRA: MARTHA KARUA KAWAPONZA WANAHARAKATI WENGINE 22 Mei 2025 * 1:32 VIDEO, KUIMARISHA ULINZI MITAANI SI SUALA BAYA- POLISI TANZANIA


YASEMA, MUDA 1,32 28 Aprili 2025 * 2:07 SAUTI, TUNDU LISSU ASALIA MIKONONI MWA POLISI TANZANIA, MUDA 2,07 10 Aprili 2025 * 1:33 VIDEO, KUTANA NA WANASOKA BIBI VIKONGWE WANAVYOTISHIA SOKA LA


AFRIKA, MUDA 1,33 7 Aprili 2025 * 1:37 VIDEO, HUYU NDIYE PANZI MZALENDO TANZANIA? MDUDU WA KIPEKEE MWENYE RANGI ZA BENDERA YA NCHI, MUDA 1,37 2 Aprili 2025 * 1:54 VIDEO, KWANINI MAKAVAZI YA


KISASA YAMEKUWA GUMZO NAIROBI?, MUDA 1,54 4 Machi 2025 * 4:32 VIDEO, 'WALIDHANI NITAJIFUNGUA MTOTO MWENYE ULEMAVU SAWA NA WANGU', MUDA 4,32 26 Februari 2025 VIPINDI VYA REDIO *


05:59 LISTEN NEXT, MBELE AMKA NA BBC, 05:59, 9 JUNI 2025, MUDA 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 29:30 * 18:29


SIKILIZA, DIRA YA DUNIA, 18:29, 6 JUNI 2025, MUDA 1,00,00 Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki 1:00:00 * 06:59


SIKILIZA, AMKA NA BBC, 06:59, 6 JUNI 2025, MUDA 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 29:30 * 05:59 SIKILIZA, AMKA NA


BBC, 05:59, 6 JUNI 2025, MUDA 29,30 Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki 29:30 DIRA YA DUNIA TV Kipindi cha habari


motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani Tazama ZINAZOVUMA ZAIDI * 1 Nchi iliyosimama juu ya nguzo mbili katikati ya bahari, ambayo pia ina timu yake ya mpira wa


miguu Imeboreshwa mwisho: 9 Februari 2024 * 2 Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi - Newcastle wanavutiwa na Elanga * 3 Lishe bora kwa watu wembamba wanaotaka kuongeza miili Imeboreshwa mwisho: 1


Oktoba 2023 * 4 'Mwanangu ni mmoja kati ya 16 wenye ugonjwa usiojulikana' * 5 Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Gyokeres yuko tayari kujiunga na Man Utd * 6 Kwa nini bahari huwa nyeusi?


* 7 Gwajima: Askofu mwenye utata anayepaza sauti dhidi ya utekaji Tanzania * 8 Jinsi ugomvi mkali wa Trump dhidi ya Musk ulivyosheheni na kitakachotokea baadaye * 9 Kwa nini tunalia kwa


furaha? Sayansi inasamaje? * 10 Atrophy: Tatizo la ukavu na kusinyaa kwa uke ni nini na linaweza kuzuiwa vipi ? Imeboreshwa mwisho: 23 Aprili 2023 MITANDAO YA KIJAMII * WHATSAPP * FACEBOOK *


X * INSTAGRAM * TIKTOK UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 * KIPENGA CHA UCHAGUZI MKUU 2025 KIMEPULIZWA TANZANIA 2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania


kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa urais wa Muungano na Zanzibar. Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Madiwani katika kata zipatazo 4,000 nchi nzima. 24 Januari 2025 *


JE, CHADEMA INAJIJENGA AU INAJIMEGA? Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala. 15 Mei 2025 * CCM YAMPITISHA RASMI


RAIS SAMIA KUWANIA URAIS 2025 Hii leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wakitoa michango yao juu ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM walipendekeza mkutano huo kuwapitisha Rais Samia na


Rais Mwinyi kama wagombea wa urais kutokana na maendelea walioyasimamia. 19 Januari 2025